”Tathmini shirikishi ya Kijamii imekuwa muarobaini wa kupunguza changamoto za Huduma ya Afya” Orsolina Tolage.

Imeelezwa kuwa  Tathmini shirikishi ya Kijamii[Community Score Card] imekuwa mwarobaini katika kupunguza changamoto za Huduma ya Afya katika jamii na kuweza kuleta mabadiliko  chanya katika ubora wa huduma . Hayo yamebainishwa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza na Afisa Program Huduma za Afya  ngazi ya Jamii,Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma ,Idara ya Kinga ,Wizara ya